UNTOUCHABLE SOLUTIONS LTD TANZANIA


Untouchable Solutions Ltd ni kampuni binafsi inayojihusisha na masuala mazima ya Maltmedia ikiwa tunafanya kazi na watu binafsi na makampuni kwa ujumla wake.
Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2013 chini ya mkurugenzi mtendaji Bwa. Benedict Ernest Kapama baada tu ya kuhitimu elimu yake mwaka 2012 katika daraja la Diploma katika fani hii.

Kampuni hii inajihusisha na Kudesign na Kedevelop Static na Dynamic Website, Fliers, Brochures, Post Cards, Posters, Display Pull up banner , Caps, T-shirts , Logos na vingine vingi.

Tunafurahi kukukaribisha ili tufanye kazi pamoja nawe kampuni na Mtu binafsi pia, hatuchagui wa kufanya nae kazi kwani tuna uzoefu wa kutosha katika fani hii.

Kwa mawasiliano zaidi angalia ukurasa wa mawasiliano ili tufanye kazi pamoja “ PAMOJA TUNAWEZA", UNACHOFIKIRIA SISI TUNAFANYA”
Na huu ni mfano tu wa kazi zetu tunazodesign, Karibuni Sana
POSTERS
LOGOS
BANNERS

STAND UP BANNER

............................ Wakonta Kapunda ni mfano tu  ................................


.......................................... CREATIVE LOGO DESIGN ............................................
..........................................  OMEGA RESORT LOGO  ..........................................
.....................................................  KIJANI LOGO  ..........................................

......................................................  KIBOGHI LOGO  ...........................................