Untouchable Solutions Ltd ni kampuni binafsi inayojihusisha
na masuala mazima ya Maltmedia ikiwa tunafanya kazi na watu binafsi na
makampuni kwa ujumla wake.
Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2013 chini ya mkurugenzi
mtendaji Bwa. Benedict Ernest Kapama baada tu ya kuhitimu elimu yake mwaka
2012 katika daraja la Diploma katika fani hii.
Kampuni hii inajihusisha na Kudesign na Kedevelop Static na
Dynamic Website, Fliers, Brochures, Post Cards, Posters, Display Pull up banner
, Caps, T-shirts , Logos na vingine vingi.
Tunafurahi kukukaribisha ili tufanye kazi pamoja nawe
kampuni na Mtu binafsi pia, hatuchagui wa kufanya nae kazi kwani tuna uzoefu wa
kutosha katika fani hii.
Kwa mawasiliano zaidi angalia ukurasa wa mawasiliano ili
tufanye kazi pamoja “ PAMOJA TUNAWEZA", UNACHOFIKIRIA SISI TUNAFANYA”
Na huu ni mfano tu wa kazi zetu tunazodesign, Karibuni Sana.
Na huu ni mfano tu wa kazi zetu tunazodesign, Karibuni Sana.
LOGOS
BANNERS
STAND UP BANNER
............................ Wakonta Kapunda ni mfano tu ................................
.......................................... CREATIVE LOGO DESIGN ............................................
.......................................... OMEGA RESORT LOGO ..........................................
..................................................... KIJANI LOGO ..........................................
...................................................... KIBOGHI LOGO ...........................................